webnovel

SURA YA PILI

MBALIZI

 

Gari Ili shuka Kwa kasi katika moja ya mlima maarufu uliokuwa ukiitwa iwambi Na kutokana Na mabadiliko ya kimazingira. Njia ya juu upande wa kushoto Ndio ilikuwa njia ya magari madogo na njia ya chini yenye ilitumika na magari makubwa.

Bado saa moja tufike uwanja wa ndege inabidi tujitahidi tuweze fika haraka ongeza mwendo nana g. Michael Alitoa maelekezo.

"Captain I've seen something on this person" alisema Alice na kuonesha barcode iliyopigwa kwenye mkono wa kijana huyo.

"He is one of us? Alisema Alice kwa mstuko na kumfanya Michael kugeuka kuhakiki kama barcode inafanana na iliyopo mkononi mwake.

"Inaendana but not the same". Alisema na kutoa kifaa Chenye uwezo wa kutambua ile barcode humaanisha nini.

Hii barcode hubeba taarifa zote za mtu husika. Alisema Michael huku akiendelea kuscan Ili apate taarifa husika.

Baada ya Sekunde kadhaa yalitokea maneno mawili tu ambayo yalikuwa ni jina la mtu husika.

"M107".

Mmh Mbona inatoa taarifa chache Na sio kamili Kama ilivyo Kwa barcode zingine? Aliuliza Michael na kumfanya Alice na nana kuguna.

"Embu jaribu tena huenda hujascan vizuri captain" Alisema nana g.

"Bado huleta maneno Yale Yale mawili Na hii sio kawaida". 

Michael alijaribu kupata taarifa kwenye mkono wake na taarifa zake zote zikatokea ikiwemo umri jinsia miaka na cheo chake husika as a captain.

"Who is he? Aliuliza Michael 

We don't know maybe he is special case, that's why we were given a deadline to get him as soon as possible before saa sita mchana wa leo. Alisema Alicia huku akimuweka vizuri mkono uliokuwa na barcode.

Why barcode haioneshi hata rank yake umri wala jinsia? Aliwaza Michael na udadisi ukamuingia juu ya kijana ambaye amemfahamu kwa jina la "M107"

Alice Mpigie George uone amefikia wapi kuhakikisha waliotoa taarifa ya mahara anapokaa hawatoi taarifa sehemu nyingine juu ya ujio wetu katika kijiji kile.alisema Michael 

  "Atakuwa kashahitimisha kazi yake George yupo serious na kazi". Alisema nana

"Let's call him tuone kafikia wapi." Alisema Alice na kutoa simu yake na kutafuta namba za George kisha kumpigia, dakika chache simu ilipokelewa.

"Hallo Alice mmeshafika AIRPORT? Aliuliza George 

Bado nusu saa tutakuwa tushafika" alijibu Alice na kuuliza

Umefikia wapi kazi iliyobaki? 

"I've already destroyed them they are no longer in this earth washakufa na siri hii".

Good. Alijibu Alice Na kisha kutoa ishara Kwa Michael Na Nana g kuwa kila kitu kipo Sawa.

Nana alikanyaga zaidi mafuta na kukunja kulia kuingia katika kiwanja cha ndege cha SONGWE AIRPORT.

  Gari lilikunja Kona na kuingia sehemu ya maegesho ya magari. Dakika chache baadae wakatoka watu wanne wanawake wawili na wanaume wawili. Mmja wa wanaume alikuwa ni Michael aliyevalia miwani myeusi ambayo ilimfanya kuwa tishio kwa mtu asiyekuwa na ukaribu naye.  Alikuwa nyuma ya kijana aliyekuwa amepotelewa na fahamu toka safari yao ilipoanza na sasa alikuwa macho.

  "Tembea bila kuonesha wasi wasi wowote, endapo utaonesha mashaka kumbuka uhai wako uko mikononi mwangu. Taratibu M107 aligeuka nyuma na kuona kiwamba sauti kikifungwa mbele ya mdomo wa bastora, akajua tu hana budi kufata maelekezo yaliyotolewa.

"Mbona wameamua kunifata wakati huu, sikutarajia Kama itachukua miaka michache kunipata? 

  "Wameshafahamu kuwa sikumaliza kazi niliyotumwa au kuna lingine? Aliwaza M107

  Walifika sehemu ya mapokezi na abiria wasiokuwa na mizigo walipita moja kwa moja kwenye chumba Chenye mionzi ya ukaguzi wa usalama pale uwanjani. 

Nana alinong'ona kwenye kifaa cha kuwasiliana na muda mchache baadae wote walifanikiwa kupita bila kugunduliwa kuwa wamebeba silaha za moto.

  "Ghost is so fast now days" aliongea Nana g kuonesha kuwa alipendezwa na kazi ya mtu anayeitwa ghost.

"He is our brain you know, we're just like working big headed ants who have no brains but have powers to support those with brains. Aliongea Alice kukazia maneno ya Nana g.

 

  Dakika kumi baadae waliingia kwenye ndege na mnamo saa mbili dakika moja ndege iliweza kugusa ardhi na kuungana na anga lililokuwa limepambwa na wingu jeusi na ukungu kwa mbali. Safari ya kuelekea dar es salaam ilikuwa imewadia.

M107 alikaa karibu na mwanadada mrembo aliyekuwa anaitwa Alice William. Alilifahamu jina hilo baada ya kufanya mazungumzo naye walipokuwa wakipatiwa huduma na mhudumu wa ndege.

  "Unafaa kuwa kama huyu" aliongea M107 baada ya kumwangalia yule muhudumu na kumuangalia Alice aliyekuwa pembeni yake.

"I don't think I deserve that humble position" alijibu Alice kwa kifupi na kukaa kimya.

You're so hard to talk to for a woman of your caliber; can you please loosen up for a bit?

Let's talk like friends, I know am your hostage but please nipe haki ya kufanya mawasiliano hata kidogo, aliongea M107 lengo ni kutaka kuwa karibu na Alice ili ajue wanaelekea wapi.

Aliangalia mbele na kuona Michael na Nana g wako busy wakifanya mazungumzo yao.

"This is not in our protocol but I think I should talk to someone. Alifikili Alice huku akimuangalia usoni M107 bila wasi wasi.

  Who are you by the way? Aliuliza Alice 

Mateo Antonio ndio jina ninalotumia kwa sasa and you know me by M107" Alijibu Mateo huku akiangalia nje ya dirisha la ndege.

Ni kwann unasema unalotumia kwa sasa? Unamaanisha unatumia jina lingine tofauti na hilo la Mateo? Aliuliza Alice huku akiwa na shauku ya kujua zaidi.

"Niite tu M107". Alisema mateo

  "Usijali utanijua zaidi but before hujajua Mimi ni nani can I please know your name beautiful? Alisema mateo huku akiongea taratibu akimuangalia Alice kwenye midomo yake.

"J...Jina langu ni Alice William mtembe ni daktari wa binadamu katika hospital Kuu ya muhimbili. And this is one of my works as a doctor of medicine graduated with profound performance. Alijibu Alice huku akionesha sura ya aibu.

"Ndio maana ulizimia kwa muda wa masaa kumi kwasababu ya dawa niliyoigundua yakumfanya mtu awe kama mfu kwa muda wa masaa yasiyopungua kumi. Aliongea tena Alice huku akionesha kutofurahia alichofanya.

"With your good profile that's why Upo huku. General Mtai hawezi kuwa na watu wenye elimu ndogo." Alinon'gona mateo 

Do you know Mr. Mtai? Aliuliza Alice 

Mbna unamwita General Mtai is he that inportant man in the nation military? Aliuliza tena Alice Akitaka kujua zaidi.

Alice...hivi unaweza fanya kazi na mtu ambaye humjui ni nani? Aliuliza mateo

Ni kweli unavosema lakini kwenye kikosi chetu haturuhusiwi kufahamiana sana zaidi ya majina yetu, kila mtu anapewa kitengo chake na hakuna kuuliza kuhusu familia, uhusiano wowote wala kazi unayofanya tofauti na tukutanapo kwenye majukumu kama haya, hivyo sio rahisi kujua kazi gani mr. Mtai anafanya. Alijibu Alice huku akiangalia siti ya tatu kutoka walipokuwa walipokuwa wamekaa Michael na Nana g.

Usitake kujua wao ni nani zaidi, kumbuka usimwamini mtu yoyote hata kama ni mkubwa wako wa kazi. Aliongea mateo kisha akatabasamu.

"Do you mean hata wewe nisikuamini maan una alama katika mkono wako kama hizi zilizopo mkononi mwangu? Aliuliza Alice huku akionesha shauku.

"I was" alijibu mateo Kwa kifupi kisha kukaa kimya.

"Kwanini unasema ulikuwa? Do you mean uliamua kuacha kufanya kazi katika kikosi hiki?

Wait Alice kwanza nataka kujua kwann mmenifata mapema hivi, Kwa makubaliano yangu na hao waliwatuma huu sio muda sahihi wa Mimi kurudi kikosini?

"Nini kimetokea mpaka kunifata mkoani mbeya? Aliuliza mateo huku akimkazia macho Alice 

  "Hatupaswi kujua kinachoendelea kwa wakuu, ila huenda Michael akawa anajua maana yeye ndiye tumekabidhiwa tuwe chini yake. Hapa kila mtu ana ujuzi wake Nana g Ni moja ya watu wanaojua kutumia teknolojia Kwa hali ya juu Na Ni mtumia silaha za masafa marefu (sniper) hatari huweza kuua hata sisimizi kilimita mbili mbele...yeye huenda akawa anajua pia kwann tumekufata mbeya."

  Nana alituma ujumbe mfupi kwenda kwenda Kwa Alice.

" ACHA KUWEKA UKARIBU NA MTU HUYO , HUPASWI KUZUNGUMZA NAYE ZAIDI YA DAKIKA TANO,  HUMJUI YEYE NI NANI KUWA MAKINI USIJEHARIBU KAZI."

Mtetemo wa simu ulioashilia kuwa ujumbe mpya umeingia ulisikika na Alice aliusoma bila kuficha mateo asione.

  "It's good knowing you, but am not satisfied. Aliongea Alice kisha kurudi katika hali yake ya mwanzo."

"THERE IS ALWAYS A DEVIL WHO CONTROLS DEMONS IN HELL".  Aliandika ujumbe mateo baada ya kuchukua simu mkononi mwa Alice kisha kuegama katika kiti chake akitafuta usingizi baada ya kumkabidhi simu yake.

Alice aliufuta ujumbe huo na kutafakali maana ya maneno Yale.

 

 

 

 

URAQUEIN-COLOMBIA

 

  Katikati ya nchi ya Colombia katika jiji la uraquein. Ndani ya kanisa la mtakatifu Barbara wa uraquein kulikuwa na wanaume wawili. Mmoja alikuwa ni mzee mwenye asili ya kiafrika ambaye kichwa chake kilijaa mvi na mwengine alikuwa ni kijana mwenye umri usiopungua miaka thelathini alikuwa amavalia vazi jeusi na kumtambulisha bila kuuliza kuwa huenda alikuwa ni la father wa kanisa hilo.

"He will be here by tomorrow". Alijibu mzee mwenye asili ya afrika na kumpatia picha father huyo.

"He is quite young for the job, will he succeed in that mission". Aliuliza yule padre huku akijaribu kufungua file lililopo pembeni yake.

"He is talented and skilled but he has been dormant for very long we need to train him here under your wings". Alisema mzee yule kisha kutoa briefcase lililokuwa chini ya uvungu wa kiti vya waumini.

This is our offering for the church, please take care of him for his has alot he need to do for the United republic of Tanzania. Aliongea mzee yule.

Will this be enough?  It will take almost one six month for him to train and be a well trained agent under my wing." Aliongea yule padre huku akifunga begi lililokuwa na dola za kimarekani zaidi ya dola millioni tatu.

"I know this won't be enough so I've something that will add to the hard work you've to do father appolo" 

  "This will be enough I think" aliongea yule mzee kisha kutoa flash card iliyokuwa na rangi ya nyeusi.

"What does it have, Mr. Aloyce". Aliuliza father appolo na kutumia simu yake kuangalia kilichokuwa ndani ya kile kifaa cha kutunzia kumbukumbu. 

Baada ya dakika moja aliweza kuona kilichopo ndani ya ile flash card.

Macho ya father appolo yalishtuka na uchangamfu ulionekana kwenye macho yake na akasema.

"This is more than enough; I'll be waiting for him in Bogota international airport to receive him. He will be one of the best once he is out of my hands. In the name of the father and the son and the Holy Spirit your country will be in safe hands." Alipiga ishara ya msalaba kisha kusimama kuelekea upande lililokuwa na mlango wa kuingilia chumba cha kubadilishia mavazi mapadre, huku akiwa na begi lililojaa fedha za dola za kimarekani.

 

  Mzee Aloyce alitoa simu yake na kupiga kwenye jina lililoandikwa Generali Mtai.

  Hello mheshimiwa?! Ilisikika sauti upande wa pili wa simu na mzee Aloyce alijua hakika huyo ni Generali Mtai.

"Umefanikisha kumpata yule kijana? Aliuliza mzee Aloyce huku akionesha kusubiri jibu kutoka kwa generali Mtai.

"Tumefanikisha kumpata na sasa vijana watatua uwanja wa Mwl jk nyerere ndani ya nusu saa. Tiketi ya yeye kuja Colombia ishakatwa tayari. Japo kuwa atapitia kwanza brazili baada ya kutoka brazili kuna vijana wangu wengine washaandaa tiketi ya yeye kuja Colombia moja kwa moja katika uwanja wa ndege wa Bogota." Alitoa maelezo bila wasi wasi na kikakamavu. 

"Don't make any mistake he should leave the airport unnoticed." Use any means you've to make him a ghost." Aliongea mzee Aloyce kasmili.

  "He is already a ghost mheshimiwa, jina lake halipatikani kwenye kanzi data yoyote hapa nchini. Haitokuwa rahisi kumjua." Alijibu Generali mtai.

"Good, I will be waiting for his arrival here in uraquein cathedral; I've to meet him before sijarudi nchini.

  "Kumbuka nimekuja kiziara huku nchini Colombia. Hakikisha nchi inakuwa salama Kwa kipindi hicho". Aliongea mheshimiwa Aloyce kasmili.

  "Ondoa Shaka mheshimiwa nchi iko salama kwa sasa." Alisema generali mtai 

"Sawa endelea kuwa makini kufatilia Nini kinaendelea mji mkuu na ikulu...Hakikisha Afisa usalama wote wako macho usiku na mchana bila kulala. Alitoa amri kisha kukata simu.

  Nahitaji kuonana na raisi ya Colombia his "excellency president mariana montero. Nahitaji msaada wake katika hili.  Alifikili mheshimiwa Aloyce kasmili na alitoka nje ya kanisa Hilo na kuingia kwenye gari jeusi lililokuwa na walinzi waliovalia suti nyeusi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

BAADA YA NUSU SAA…

 

  Katikati ya mitaa ya mji wa uraquein ulisikika mlipuko mkubwa sana uliosababisha duka la vinywaji vikali kuteketea kwa moto.

"Mheshimiwa inaonesha njia tunayopita kumetokea mlipuko mkubwa, yatupasa kubadili njia haraka na kuelekea ikulu haraka iwezekanavyo." Alisema mmja ya walinzi waliokuwapo ndani ya Gari Hilo.

  "Kwann kumetokea mlipuko? Aliuliza mheshimiwa Aloyce kasmili. 

"Haijatambukika bado mheshimiwa itabidi tufatilie vyombo vya habari vya hapa colombia." Alijibu yule afisa aliyekuwa siti upande wa kushoto wa raisi.

"Vyombo vya habari vya colombia "CBS" "UBS" bila kusahau vyombo Vya habari vya kimataifa vilikuwa vikiripoti tukio hilo.  Vikiwemo "CNN". "ABS". " "ALJAZEERA" vinaeleza kuwa chanzo cha mlipuko ni kutokana na kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu , baada ya uchunguzi limeonekana ni bomu lililotengenezwa kwa teknorojia ya juu.

"The explosion that occurred today in the small city of uraquein, the forensic department have discovered a bomb made with high technology; the bomb can only be triggered after detecting enough noise of certain frequency". Viliripoti vyombo vya habari vinavyoaminika duniani kote. 

  "Kutokana na mlipuko huo umepelekea msafara wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kubadili njia na kuhailishwa kwa ziara yake. Na haijadhibitishwa Kama mlipuko huo ulikuwa umepangwa kuzuia ziara ya raisi huyo" liliripoti chombo cha habari cha aljazeera.

  Baada ya dakika thelathini Gari ilikunja kulia na kuingia kwenye jumba kubwa lililokuwa na walinzi na kamera kali za ulinzi yaani CCTV KAMERA, ambazo huchukua matukio katika eneo Hilo.

  Mheshimiwa raisi Aloyce kasmili aliingia kwenye jumba la ghorofa tano na kupanda lifti iliyompeleka juu. Huku akiwa na walinzi wake wanne.

Dakika chache baadae aliingia kwenye ofisi moja wapo na mwanamke mwenye asili ya marekani kusini alikuwa ameketi kwenye kiti chake kikubwa, huku akiangalia matukio yaliyokuwa yanaendelea katika mji Mdogo wa uraquein katika kompyuta kubwa ndani ya chumba hicho.

"You were the target Mr President... am sorry for the shock you must have experienced when you're in my country." Alisema mwanamke yule huku akiangalia zaidi kwenye kioo cha kompyuta hiyo.

"It seems your enemies are hunting you in my territory...this ain't good". Aliongeza yule mwanamke

"Am quite shocked for what has happened so far...I think it might have been a glitch in my security team; as no one knew where I was heading." Alisema mheshimiwa rais Aloyce kasmili

 

  "THE ISLAMIC STATE HAS DECLARED TO BE THE ONE RESPONSIBLE FOR THE EXPLOSION THAT HAS OCCURED IN URAQUEIN THE SMALL BUT BUSTLING CITY IN COLOMBIA". Sauti ilisikika kutoka kwenye chombo cha habari cha ALJAZEERA.

  Islamic state?? Alishangaa mheshimiwa raisi Aloyce kasmili na kuuliza.

"WITH COLABORATION FROM AL SHABAAB FOUND IN SOMALIA THE ISLAMIC STATE HAS RELEASED A LIVE FEED TO CONFIRM THEIR INVOLVEMENT IN THE EXPLOSION".  Mwandishi was habari wa BBC alilipoti.

"IN THE NAME OF ALLAH, WE ARE SENDING A MESSAGE TO PRESIDENT KASMILI, HE SHOULD BE PREPARED TO RELEASE THE MEMBER OF ISLAMIC STATE AND ALSHABAAB HE HAVE HELD IN HIS PRISONS..FAILURE TO DO SO HE SHOULD KNOW THAT WE ARE TRACKING HIS MOVED ...THIS WAS JUST A WARNING TO ALERT HIM TO RELEASE THE PRISONERS AS SOON AS POSSIBLE BEFORE HIS COUNTRY SUFFERS FROM THE DAMAGE LIKE THIS COUNTRY". 

"The explosion will soon happen in your country if you fail to release our men, who sacrificed their life to Allah". 

Hayo yalikuwa maneno yaliyokuwa yakipita katika kompyuta kuonesha kwamba yalikuwa yakitafsiliwa kwa lugha ya kiingereza kutoka kiarabu.

  Rais kasmil alibaki kushtushwa na kuona adui ameamua kutoa tishio kwenye vyombo Vikubwa vya habari.

"Lengo Lao kubwa ni nini? Is it because of that woman I captured three years ago? Alifikili raisi kasmili kisha kukaa kwenye kiti kilichokuwa mbele yake.

"Her excellency President Mariana montero am sorry for bringing this feud in your county".  Mheshimiwa raisi mariana montero samahani Sana kwa kuleta hii vita nchini kwako. Alisema raisi kasmili.

"I knew the war ended three eyes ago...what's this supposed to mean? Aliuliza raisi montero

"I know what they want, alshabaab just want that devious woman who wanted to kill me in my campaigns." Alisema raisi kasmili 

"Tell me what happened it look like you never gave me any updates since that time I supported you in eliminating those who wanted to kill you" aliongea raisi mariana montero.

"It's long story madam president". Alijibu president kasmili

"Then make it short by starting from the end to the beginning". Aliongea madam president Mariana montero

 

  "Natamani sana kukumbuka ule mchana uliokuwa na jua kali na wingu jeusi la uuaji lililotanda juu yangu. Kwa msaada wako ulionipatia wa agents waliochini ya mbawa zako niliweza kuwa mzima. Japo niliweza kuwa karibu kidogo na malaika mtoa roho ; lakini ujumbe niliopata toka kwake ulikuwa ni kwamba , Muda wangu wa kuingia ulimwengu wa pili bado haujafika Ndipo nilipoweza kuwa salama kutokana na msaada wa walinzi wako walio kuwa wamevalia mavazi ya walinzi wangu wa karibu." Aliongea raisi kasmili

  "Mpaka uliposema ni kweli upo sahihi nilipata taarifa juu ya mmja wa walinzi wangu kuingia katika kundi la walinzi wako. Niliweza kumtuma mapema sana baada ya kujua Upo hatarini kuuawa kwenye jukwaa la kampeni. He was one of the best agents I ever had but he died that day sacrificing his life for you, am proud of him.". Alisema madams President Montero

  "Lakini tambua kwamba yule mwanamke aliyetumwa kuja kuniangamiza aliweza kutoroka baada ya jaribio la kuniua kushindikana. Lakini Nina kijana niliyemtengeneza bila yeye kujua kukabiliana na maadui kama hao ambapo baada ya kufatilia kwa karibu na Kuweza kufata nyayo zake tulifanikiwa kujua ni wapi huyo mwanamke ameweza kukimbilia". Rais kasmili Alimeza mate kulainisha Koo Kisha akaendelea.

  "Kijana aliyeweza kufatilia mpaka unyayo wa huyo mwanamke anaitwa "MATEO ANTONIO". Alisema kisha kumwangalia usoni madam montero.

  "Mbona anamajina kama ya vizazi vya kwetu asili ya amerika kusini? Aliuliza madam montero

"Najua mtu yeyote akijaribu kujua asili ya jina  halisi ya vijana wangu lazima ataweza kufatilia mpaka kizazi cha walinzi wangu ninao waamini, so I came with a plan of changing their names into names that can't be traced back." Alisema raisi kasmili

"He is one of my ghost he is untouchable he was the one that killed that woman". Aliongea huku kuonesha kuwa alipendezwa na utendaji kazi wa mateo Antonio.

"Uliweza kumwona jinsi alivyofanikisha kummaliza huyo mwanamke gaidi? Aliuliza madam montero 

  "Sikuweza kushuhudia ila yeye Alisema kuwa huyo mwanamke aliweza kuweka ukaribu naye, kipindi anasoma katika chuo kikuu cha dar es salaam...hivyo ikamwia rahisi kuweza kujua ni wapi anaweza mpata.

"But he brought the evidence of her dead body" aliongeza kusema raisi kasmili

"Kwa jina aliweza kujulikana Kama SUMAIYA na mwili wake kuhakikisha kuwa haupatikani na wenzake ambao kabla hajafaliki aliweza kuwataja kuwa ni kundi la kiharifu la alshabaab ndyo lililomtuma. Tulipata taarifa zaid ya kuwa mateo Antonio my ghost aliweza kumteketeza kwa kutumia teknolojia wanayotumia wahindi ya kuchoma maiti yaani "CREMATION PROCESS" na kubaki na majivu kama ushahidi kuwa aliweza kuangamiza gaidi mwenye uhusiano na kundi hatari la alshabaab." Alieleza kwa undani rais kasmili

 

  "Do you think their target is to get that woman who is already dead by using other prisoners? Aliuliza madam montero 

"Nadhani lengo lao ni kujua kama yule mwanamke sumaiya kama bado yupo hai, that's why wanatumia njia zote kujua kama yu hai ama kafariki, I think she might have been an important figure for Islamic state to announce the release of their prisoners from our prisons". Aliongea rais kasmili.

  "I saw the red light sooner before this happened...so I am one step ahead of theirs plan". Alisema rais kasmili

"What plan do you've Mr President? Aliuliza madam montero.

"My Knight is on motion he will be here by tomorrow." Mr Kasmili Alisema huku akionesha tabasamu ambalo toka alipoanza kuzungumza madam montero hakufanikiwa kuliona kwenye uso wake uliokuwa na mikunjo ya uzee.

"Ooh! Do you mean Mateo Antonio? Where is he right now? Atawezaje kukusaidia katika hili, huoni kama he might have lost his touch since that time...three years is so long for him to be at his best." Aliuliza madam montero 

  "Yes now he might have taken the flight from Tanzania he is heading in Brazil then after that he will take a flight that will take him up to here...I've met some people who are ready to train him to be one of the best agents". Aliongea rais kasmili huku akionesha kuwaamini watu hao.

"Do you trust them? Madam montero aliuliza

"Yes I do, nawaamini wapo vizuri" alijibu raisi kasmili.

  "Ninachoshuruku mpaka sasa hawajatoa mwisho wa kuwaachia Huru wafungwa wao, kwa muda wa miezi sita ni Mingi sana kwa kijana kujifunza mbinu mpya za ulinzi. Naamini kijana huyu ataweza kuwamaliza kwa msaada wako pia madam montero." Alisema rais kasmili

"Don't worry about that I'll do whatever I can to help you in this mess you have fallen into". Alisema madam montero kisha kompyuta kubwa iliyokuwa ikionesha matukio kubadilika na kuonesha maneno yaliyosomeka "REPUBLIC OF COLOMBIA" Na Bendera ya rangi tatu ilionekana njano bluu na nyekundu.

  "Nahitaji kurudi mjini bogota ziara yangu ilinipasa nikamilishe kwenye mji huo kisha kuondoka kurejea nchini kwangu. Nahitaji kutumia usafiri wa anga ili niweze kumaliza ziara hii ya kutembelea kiwanda cha utengenezaji wa silaha za maangamizi katika nchi yako." Alisema rais kasmili

  "You don't have to worry about that as long as everyone is under my command everything will proceed the way you want. Ila tambua nahitaji madini ya uranium kwa wingi mwaka huu, kuna uhaba wa madini kwenye hicho kiwanda ambapo kutokana na utengenezaji wa silaha hizo malighafi zimepungua." Alisema madam montero 

  "Kumbuka serikali yangu Haita lifumbia macho suala hili la shambulizi la hawa magaidi, I'll make sure to pay them thousands folds of what they've done" Alisema madam montero na kisha kuagana na raisi kasmili aliyekuwa akisindikizwa nje ya ofisi ya raisi huyo.

Your gift is the motivation for my creation. Give me more motivation!

Like it ? Add to library!

Have some idea about my story? Comment it and let me know.

Felix_Menda_amfexcreators' thoughts