webnovel

Unnamed

Ilikuwa ni asubuhi ambapo ndege angani waliruka kwa furaha uku wakiimba kwa furaha wakati huo Mtoto mdogo alikuwa akiamka kutoka katika vumbi la chumba ambacho alikuwa amelala usiku kucha

Oooh Mungu wangu wapi hapa nilipo na mimi ni nani? Mbona sikumbuki kitu (huku akishika kichwa ambacho kilikuwa kinamaumivu kama ya kupigwa)

Ghafla mlango unafunguliwa na Ajuza mmoja akaingia Hey who are you (Ajuza huyo aliongea) mtoto alikuwa mgeni na lugha ambayo ajuza yule kaongea