webnovel

Maisha ya mtaani ambayo kila mmoja anahitaji kutoboa ila kutokana na ukosefu wa ajira vijana wengi wanaingia kwenye mchakato kujiingiza kwenye makundi lika na kutunza kukaba kupora uhuni mambo ya ovyo

Hayo yoote unayapata katika mitaa ya uswahilini kuna kila aina ya majina panya road wajela jela wa uswahilini machizi boat machizi sabini watoa dozi kila kitu ambacho kipo mtaani kina sababu zake za msingi