webnovel

Bado bikra ama la

Ecca alikuwa zake bize kuandaa andaa chakula mezani tayari kwa kuliwa na Nora.Akiwa kwenye zoezi hilo ghafla mlango ukagongwa!

"Nora tayari amekuja."

Akajisemea Ecca kwa furaha.Haraka akasogea mlangoni na kuufungua

"Karibu prince No....."

Akasita kuoongea baada ya kumuona aliye mlangoni.

"Prince A....prince Ale...."Akabaki kuuma meno tu asiweze kumalizia baada ya kumuona prince Alexander.

"Alexander." Alexander mwenyewe akamalizia baada ya Ecca kushindwa kutamka jina lote.Akamsogeza Ecca pembeni na kuingia ndani.Haraka Eccä akapiga magoti kwa uoga mno akitetemeka.

"Prince Alexander umefuata nini nyumbani kwangu tafadhali?"

Akahoji Ecca akiwa ameinamisha kichwa chake chini.

"Hukutegemea kuniona mimi hapa?"Akauliza Alexander.

"Ulitegemea kumuona Nora sio?"

Swali hilo likamuacha Ecca akitetemeka zaidi.Alexander akamsogelea Ecca na kuchuchumaa mbele yake.Akamshika kidevu na kumuinua amtazame usoni.

"Una mahusiano gani na mdogo wangu Nora?"

"Hakuna chochote,aliniomba tu niwe diva wake..."

"Hiyo sauti inakupa kiburi Ecca sio?Unathubutuje kunichanganya mimi na ndugu yangu wewe mwanamke?!!!??" Akafoka Alex na kumpiga kofi Ecca kwa hasira kali.Macho yake yalionesha wazi wingi wa hasira zake

"Nikuulize Ecca,je mhmi nishawahi kukushika hata kiuno?"

"Hapana...." Akajibu Ecca akianza kulia.

"Ila umethubutu kumruhusu Nora akuguse.Niliwaona siku ile ulivyo mlalia kifuani.Una akili kweli wewe?Kwanini unanisaliti Ecca?Au unadhani mimi sijakamilika nini?"

Akafoka Alex.Hangeweza kutulia kwa wakati ule hata kidogo.

"Nakumbuka ulisema kuwa hujawahi kuwa na mwanamme yeyote yule....kwahiyo wewe bado bikra."

Kauli hiyo ikamfanya Ecca ashtuke mno.Anataka kufanya nini huyu mwanamme labda?

"Sasa nataka kuthibitisha kama kweli wewe bikra ama la?"

Akasema Alex akiinuka taratibu.Ecca akajikuta akichanganyikiwa.Alex akamnyanyua na kumtupa kwenye kochi.Akataka kuinuka lakini Alex akamzuia....