webnovel

siku niliyokutana naye

ilkuwa siku tulivu, hasubui ya siku ya ijumaa, nikaamka na kuoga na kujiandaa harakaharaka ili kuwahi boti ,nikatoka nje na kumpigia simu dereva wa gari aje anichukue.

Di Di di Di nti hallo

dereva hallo sister mambo

poa vipi

safi nambie

naomba uje unipeleke posta

poa nakuja., baada ya mda simu ikaita tena

nipo nje, nikatoka na begi Yangu Ya mgongoni ambayo nimeweka baazi ya nguo za kubadirisha, na hasubui hii nilikuwa nimevaa crop top nyeupe na skin jinsi Ya rangi nyuusi na simple raba nyeupe ,basi nilivyo fika nje nikamuona dereva wa gari nikafungua mlango nikaingia ,tukaanza safari ya kuelekea bandarini posta, ilichukua muda wa Kama nusu saa mpaka kufika bandarini kwasababu njiani kulikuwa na foleni ya magari, nilivyo fika bandarini nikashuka na kulipa Pesa Ya gari na kuingia bandarini kukata ticket ya boti ya kwenda Zanzibar, kwabahati nzuri niliipata nikakaa pembeni na kusubiri muda wa kupanda, abiria wote unesheni ticket zenu ili mpande kwenye boti, nilivyo sikia sauti hiyo nikanyanyuka na kuonesha ticket Yangu na kitambulisho na kuingia kwenye boti ya kwenda Zanzibar, nilivyo ingia kwenye boti nikatafuta siti iliyotupu nikakaa baada ya muda boti ikaanza kuondoka. Tulitumia masaa mawili mpaka kuwasiri bandarini Zanzibar, nikashuka kwenye boti nikiangaza huku na huku kumtafuta mwenyeji Wangu, baada ya muda nikamuona tukasalimiana na kuelekea hotel walio andaa wageni kufikia

Próximo capítulo