webnovel

TUFANI YA MAFANIKIO

歴史
連載中 · 18.3K ビュー
  • 10 章
    コンテンツ
  • レビュー結果
  • NO.200+
    応援
概要

TUFANI ya Mafanikio ni riwaya inayomhusu binti Athalia ambaye anatokea katika familia ya kimasikini lakini hayumbishwi na umasikini bali anapambana kuondokana na umasikini huo. Athalia ana ndoto za kusoma na kuufikia uprofesa. Athalia anasoma huku akikumbana na vikwazo vya elimu pamoja na maisha. Anapita katika misukosuko na kujikuta katikati ya tufani kila upande. Je Athalia atafanikiwa katika tufani hii? Je atakuwa profesa? je atampata Johnson? majibu ya maswali haya yako ndani ya simulizi hii iliyobeba mikasa na visa mbalimbali