MZALENDO
M107 Jina la siri alilopewa kutumia wakati akitekeleza kazi yake ya kuilinda nchi yake, kwa kupitia misukosuko mingi. Je ni kweli ataweza kuitetea nchi yake kutoka kwa maadui mbalimbali wanaoizonga kwa vikwazo mbalimbali.
Felix_Menda_amfex · Fantaisie