Lee la novela MSUMALI escrita por el autor John_Raphael_8794 publicada en WebNovel. Mapenzi ni kama msumali, msumali ukiwa mpya unyooka, lakini, tatizo huanza msumali huo ukishaanza kugongwa na nyundo, hapa huitaji umakini ili msumali huo usipinde, hata hivyo, kupinda sio tatizo, tat...
Mapenzi ni kama msumali, msumali ukiwa mpya unyooka, lakini, tatizo huanza msumali huo ukishaanza kugongwa na nyundo, hapa huitaji umakini ili msumali huo usipinde, hata hivyo, kupinda sio tatizo, tatizo ni namna ya kuunyoosha na usivunjike, huu ndio wakati ambao umakini mkubwa zaidi huitajika vinginevyo msumali huo utavunjika.