Lee la novela Kisanga escrita por el autor John_Raphael_8794 publicada en WebNovel. Binaadamu tumeumbwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua changamoto zinazo tuzunguka, lakini kuna wakati jitihada zetu hazitoshi kujitoa kwenye dhahama hivo kuna mda tunahitaji tusaidiwe na mungu au...
Resumen
Binaadamu tumeumbwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua changamoto zinazo tuzunguka, lakini kuna wakati jitihada zetu hazitoshi kujitoa kwenye dhahama hivo kuna mda tunahitaji tusaidiwe na mungu au matokeo ya kisayansi.
Kisanga ni riwaya iliyoegemea kwenye matukio yetu ya kila siku, inaonesha jinsi stela na chazi wanavyo pambana kuishi na kujitoa ndani y chumba ambacho kimefungwa.